(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne) mbali na uamuzi chanya wa serikali kufanya elimu hii ya sekondari kuwa bure, inasema ripoti iliyotolewa na shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch. Ripoti hiyo yenye kurasa 98, “‘Nilikuwa na Ndoto za Kumaliza Shule’: Vipingamizi katika Elimu ya Sekondari Tanzania,” inaangazia vikwazo, ikiwa ni pamoja na vikwazo vitokanavyo na sera za serikali zilizopitwa na wakati, ambazo zinazuia zaidi ya vijana milioni 1.5 kupata elimu ya sekondari na kusababisha wengine wengi kuacha shule kwasababu ya hali duni ya elimu. Matatizo hayo ni pamoja na kutokuwepo kwa shule za sekondari vijijini, mtihani unaoweka ugumu wa kujiunga na shule ya sekondari, na sera za kinidhamu za serikali zinazowafukuzisha shule wasichana waliopata ujauzito au kuolewa
Tanzania: Vijana Milioni 1.5 Million Hawapo Shuleni
Related News
ENG
FRA
ESP
Thursday, 8 October 2026
US: Deportations to African Countries Not Their Own
Denied Due Process; Some Returned to Danger in Home Countries
ENG
FRA
Wednesday, 22 July 2026
DR Congo: Oil Company Operations Pose Grave Pollution Threat
Transparency Needed to Address Health Risks to Nearby Communities
ENG
Friday, 12 June 2026
Malawi: People with Albinism Face Discrimination, Barriers to Work
Stigma, Insecurity, Lack of Accommodations Undermine Rights