(Nairobi, Desemba 17, 2018) – Maafisa wa Polisi na wale wa kijeshi
nchini Kenya wanawanyanyasa
wanaharakati wa mazingira katika kaunti ya Lamu mkoani pwani, Shirika la kutetea
haki za Kibinadamu - Human Rights Watch
pamoja na Muungano wa Kitaifa wa Makundi ya kutetea haki za kibinadamu (National Coalition of Human Rights Defenders-Kenya)
wamesema katika ripoti yao iliyotolewa hii leo.
Ripoti hiyo yenye kurasa 69, “Wanataka Kutunyamazisha: Unyanyasaji
dhidi ya wanaharakati wa mazingira katika mkoa wa pwani” (They Just
Want to Silence Us: Abuses Against Environmental Activists at Kenya’s Coast
Region) inaelezea muktadha wa kampeni za uanaharakati katika kupinga
ujenzi wa bandari ya Lamu na mradi wa barabara ya kutoka Kenya hadi Sudan Kusini
na Uhabeshi, mradi ujulilikanao kama (The Lamu Port-South Sudan- Ethiopia
Transport corridor project-LAPSSET) na miradi nyingine inayohusiana nayo .
Ripoti hiyo inajumulisha nyaraka zinazo-onyesha vikwazo ambavyo wanaharakati
wanakumbana navyo wanapotoa matamshi yao ya wazi kuhusu
hofu yao katika mradi huo.
Kenya: Unyanyasaji wa wanaharakati wa mazingira
Feature
Duration
: 3m 3s
Related News
ENG
FRA
ESP
Thursday, 8 October 2026
US: Deportations to African Countries Not Their Own
Denied Due Process; Some Returned to Danger in Home Countries
ENG
FRA
Wednesday, 22 July 2026
DR Congo: Oil Company Operations Pose Grave Pollution Threat
Transparency Needed to Address Health Risks to Nearby Communities
ENG
Friday, 12 June 2026
Malawi: People with Albinism Face Discrimination, Barriers to Work
Stigma, Insecurity, Lack of Accommodations Undermine Rights